Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) kwa kushirikiana na shirika la Agriculture and Fisheries Development Program (AFDP) wamekabidhi vifaa vya uwezeshaji kilimo cha mwani vyenye thamani ya Shilingi milioni 179 kwa wakulima wa zao hilo wa wilayani Lindi mkoani Lindi.

Miongoni mwa vifaa vilivyokabidhiwa kwa wakulima hao ni boti nne, kamba, taitai pamoja na viatu maalumu.

Imeandaliwa na Omary Mikoma.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *