TRA UNITED vs MASHUJAA: Kwanza ni kiu kwa TRA kusaka alama tatu za kwanza dhidi ya mpinzani ambaye hajawahi kupata matokeo mazuri kwenye uwanja wao”
Mchambuzi wa soka @hinjojr azungumzia ugumu wa mechi ya NBC Premier League kati ya TRA United dhidi ya Mashujaa hapo saa 10:00 jioni.
Hinjo ameongeza kuwa TRA United watakwenda katika mchezo huo wakisaka alama tatu ambazo wameshindwa kuzipata katika mechi zao zilizopita.
Mechi itakuwa LIVE #AzamSports1HD
Imeandikwa na @davidkyamani
Mhariri: @allymufti_tz
#Viwanjani