Wiki hii katika SERIE A mechi hizi kupigwa

Wiki hii katika SERIE A mechi hizi kupigwa

Big Match ni Mabingwa watetezi Napoli watakuwa uwanja wa nyumbani Diego Maradona wakiwakaribisha Inter Milan.

Katika msimamo wa Serie A, Napoli na Inter Milan wote wana alama 15.

Je, ni Napoli ama Inter nani kumpasua mwenzie?

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama Serie A mwezi mzima.

Lega Serie A @seriea

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *