Zaidi ya wanafunzi 1,500,000 wa darasa la nne nchi nzima, wanatarajiwa kufanya mtihani wa upimaji wa kitaifa leo Oktoba 22,2025 katika maeneo mbalimbali nchini, mtihani huo wa upimaji utafanyika kwa mara ya kwanza kwa kuzingatia sera mpya ya elimu na mtaala ulioboreshwa.

Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Kigogo, Abubakar Kioza ameeleza mategemeo yake katika ufanyaji wa mtihani huo wa upimaji kwa wanafunzi wake.

✍ @imjenalpha
Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *