AHMED AZITAJA TIMU ZITAKAZOTINGA MAKUNDI: “Uhakika ni timu mbili”
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema timu mbili kutoka Tanzania zina nafasi zaidi ya kutinga hatua ya makundi ya michuano ya CAF.
Ahmed amezitaja timu hizo kuwa ni Simba SC na Azam FC, huku timu zingine akiuachia wakati uamue.
Ahmed asema beki wao Rushine De Reuck sio tapeli
Simba itaikaribisha Nsingizini Hotspurs Jumapili saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
#SimbaSC #AhmedAlly