Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kupitia kwa mgombea wake wa Urais, Salum Mwalimu amesema akifanikiwa kitwara kiti hicho atahakikisha anatoa kipaumbele kwa wazawa katika uendelezaji wa rasilimali za madini.

Taarifa zaidi na Emmanuel Kalemba.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *