Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema akifanikiwa kushinda muhula wa pili wa Urais wa Zanzibar atahakikisha kunakuwepo na ongezeko la ajira kupitia sekta za ualimu, afya na vikosi vya SMZ ili kuongeza idadi ya watumishi wa umma katika kada hizo na kuendelea kuongeza ufanisi wa kazi.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi