
Erdogan na Sultan wa Oman wakutana Muscat, waahidi kuimarisha uhusiano, kuunga mkono Palestina
Uturuki, Oman wana misimamo sawa katika masuala mengi, hasa Palestina, na watafanya kazi pamoja kuelekea suluhu ya mataifa mawili, Rais wa Uturuki amwambia sultani wa Oman.