#HABARI: Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha Cecilia Pareso amewataka wananchi wa Jimbo la Songwe mkoani Songwe kuipa kura za kishindo CCM kwa kumchagua Mgombea wa Urais wa Chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan, wabunge pamoja na madiwani katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, mwaka huu.
Akizungumza katika kampeni za mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi, Pareso amewataka wananchi kufuata taratibu katika vituo vya kupigia kura ili waweze kuwachagua viongozi bora watakaowaletea maendeleo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.