#HABARI: Familia ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bw. Jonh Heche, imeliomba Jeshi la Polisi, kuwaeleza ni wapi alipo ndugu yao ambaye alikamatwa na jeshi hilo na jijini Dar es Salaam na hajulikani alipo.
Akizungumza na waandishi wa habari mdogo wake na John Heche kwa niaba ya familia ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mara amesema hadi sasa hawajui ndugu yao alipo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.