#HABARI: Mgombea Mwenza wa nafasi ya Makama wa Rais Mhe. Devota Minja amesema CHAUMMA kikipata ridhaa itashirikiana na Serikali ya Zanzibar kutafuta masoko ya uhakika ya karafuu na mwani ili kuinua uchumi wa wakulima wa Zanzibar.
Minja ameyasema hayo wakati anazungumza na wanawake pamoja na wagombea wa nafasi za ubunge na udiwani visiwani Zanzibar ambapo amesema CHAUMMA itatafuta masoko ya uhakika nje ya nchi.
Aidha, amesema CHAUMMA inalengo la kusimamia uchumi wa bluu kwa kutoa fursa za ajira kwa wa Tanzania.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.