#HABARI: Mgombea ubunge Jimbo la Bariadi Vijijini mkoani Simiyu, kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bwana Masanja Kadogosa amesema hawawezi kuwa na majaribio ya ubunge ambayo ni maisha ya watu ikiwa maendeleo hayaletwi na maneno pekee bali ni vitendo hivyo ni vyema wananchi wakakichagua Chama Cha Mapinduzi kinafanya maendeleo kwa vitendo na kwa uhalisia.
Masanja ameyasema hayo katika muendelezo wa kampeni zake akiwa Kata ya Banemhi na Mwadobana ambapo amewaomba wananchi wagombea wa vyama vingine wakifika katika maeneo yao ni vyema wakawahoji ni maendeleo yapi wameyaleta katika Taifa la Tanzania.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.