#HABARI: Mgombea Ubunge Jimbo la Rombo mkoani Kilimanjaro na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, amesema Serikali inaendelea kufanya mageuzi makubwa katika kukuza sekta ya elimu nchini, huku akiwasisitiza wanafunzi wa shule za sekondari kusoma kwa bidii masomo ya sayansi, kutokana na kuwepo kwa fursa kubwa ya kusomeshwa na Serikali pindi waingiapo vyuo vikuu kusomea taaluma hiyo.

Profesa Adolf Mkenda, ameyasema hayo akiwa kwenye kampeni eneo la Tarakea wilayani Rombo wakati akiomba kura kupata ridhaa ya kuwa Mbunge katika Jimbo hilo na kura za Rais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *