#HABARI: Mtemi wa Waganga na Wakunga wa Tiba Asili mkoani Mwanza Shaban Ramadhan amekemea vikali tabia ya baadhi ya waganga wanaojihusisha na vitendo vya ukatili, ikiwemo wale wanaopiga ramli chonganishi na kuwalaghai wananchi kutoa uhai wa watu wengine kwa lengo la kupata utajiri.
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.