#HABARI: Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ameibwaga Jamhuri kwa mara nyingine baada ya Mahakama kukataa kupokea ripoti ya uchunguzi ya shahidi kutokana na pingamizi aliloliwasilisha dhidi ya Mkaguzi wa Polisi Samwel Kaaya.
Aidha, Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imesema kwa msimamo wake haikubaliani na Wakili wa Serikali Mkuu Job Mrema kwamba kuna mtego sehemu yoyote na pia haiwezi kuingia kwenye mtego wa kukiuka sheria.
KWA HABARI KAMILI, INGIA YOUTUBE YETU #ITVTANZANIA
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.