#HABARI: Rais William Ruto ametetea uamuzi wake wa kutia saini mswada wa matumizi mabaya ya kompyuta na makosa ya mtandao ambao ni marekebisho ya sheria ya kompyuta, 2024, Oktoba 15, mwaka huu siku ambayo aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga aliaga dunia, hatua iliyozua shutuma kutoka kwa baadhi ya wananchi na viongozi wa upinzani.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.