#HABARI: Wakulima wa Skimu ya Umwagiliaji maji wa mpunga Mwamapuli, wilayani Igunga, mkoani Tabora, wametakiwa kuacha kulima kwa mazoea na badala yake wahamie kwenye kilimo biashara kwa kupima udongo kabla ya kulima, jambo ambalo litawawezesha kupata mazao mengi yenye tija kwa kuweza kuuza mazao yao ndani na nje ya nchi.
Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Bi. Sauda Mtondoo, ametoa wakati alipokuwa azindua matrekta ya kulimia na kuvunia mpunga na mashine ya kukoboa mpunga na kugredi mchele ili kuanza kazi.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.