#HABARI: Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya kufunguliwa kwa vyuo vikuu nchini mwezi Novemba, Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imewataka wahadhiri na wataalamu wa elimu kufundisha kwa mtazamo wa umahiri, maarifa na ujuzi utakaowaandaa wahitimu kuajiriwa au kujiajiri.

Mkurugenzi wa Ithibati wa TCU, Dkt. Telemu Kasile, amesema hayo mkoani Morogoro alipomwakilisha Katibu Mtendaji wa Tume hiyo kwenye warsha ya kujengea uwezo wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), kuhusu mbinu bora za ufundishaji unaozingatia umahiri.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KISHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *