Mechi za wikiendi hii katika LALIGA.
Big Match ni Jumapili, EL Clasico, Real Madrid watakuwa uwanja wa nyumbani Santiago Bernabeu wakiwakaribisha FC Barcelona.
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 12:15 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports4HD.
#Laliga #Azamtvsports
