Mgombea Gombo Samandito Gombo wa Chama Cha Wananchi (CUF) amewaahidi wazee nchini kupokea mshahara kila mwezi kutoka katika serikali yake iwapo atafanikiwa kushinda kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moses_kwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *