Mgombea Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutoka chama cha ADA TADEA kuweka mazingiara bora ya wajasiriamali wa kilimo cha mwani na wakulima wa mabwawa ya chumvi kwa kuwapa vifaa vya kisasa ili mazao hayo yaweze kuzalishwa katika ubora na kiwango cha juu.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *