Mgombea Urais wa Zanzibar wa chama cha UPDP, Hamad Mohamed Ibrahim ameahidi kulipa kipaumbele suala la elimu ikiwemo kuwapeleka vijana wahandisi katika nchi mbalimbali zilizopiga hatua kubwa zaidi ili kujifunza masuala ya uhandisi na kuja kusimamia miradi na utekelezaji wa sera za chama hicho.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi