MZINGA AWANG’ATA SIKIO YANGA: Mtangazaji wa soka @gharib_mzinga23 amewataja wachezaji watatu wa Silver Strikers ambao ni wa kuchungwa zaidi akiwemo golikipa wao George Chikoka ambaye msimu uliopita alishinda tuzo ya MVP katika Ligi ya Malawi.
Mzinga anasema Yanga ina kikosi kipana na karibu wachezaji wao wengi ni wa daraja la juu.
Mzinga pia amezungumzia kurejea kwa Clement Mzize na kutaja njia ambazo Yanga wakizitumia wataweza kusonga mbele.
Mechi ni Jumamosi saa 11:00 jioni LIVE #AzamSports1HD
#Mzinga #Yanga