Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Felista Mdemu amesema anatarajiwa kuona ufanisi wa kazi wa maafisa maendeleo ya jamii nchini unaimarika na kuongezeka hasa katika ngazi za chini, baada ya wizara hiyo kutoa takribani pikipiki 98 kwaajili ya maafisa hao kurahisisha shughuli zao hasa vijijini.

Mdemu ametoa kauli hiyo baada ya kukabidhi baadhi ya pikipiki hizo mkoani Songwe.

Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *