SIMBA vs NSINGIZINI: Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amewasisitiza mashabiki wa timu hiyo kuendelea kununu...

SIMBA vs NSINGIZINI: Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amewasisitiza mashabiki wa timu hiyo kuendelea kununua tiketi za mchezo wao wa Jumapili dhidi ya Singizini Hotspurs katika michunao ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Ahmed ametaja sababu za mashabiki wa Simba kujitokeza kwenye mchezo huo katika dimba la Benjamin Mkapa.

Mechi itapigwa saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#Simba #AhmedAlly

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *