SIMBA YALAMBA MILIONI 15 GOLI LA MAMA: “Anawapongeza sana Simba kwa kuwa na kikosi bora cha mashindano kwa ajili ya mashindano y...

SIMBA YALAMBA MILIONI 15 GOLI LA MAMA: “Anawapongeza sana Simba kwa kuwa na kikosi bora cha mashindano kwa ajili ya mashindano ya kimataifa”
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amefikisha salamu za Rais Samia Suluhu Hassan kwa Simba SC, akisema kiongozi huyo ana imani ya kwamba kwa kikosi cha mnyama msimu huu kufika fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, inawezekana.

Msigwa ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, amekabidhi kitita cha shilingi milioni 15 za goli la mama.

Kwa upande wake nahodha wa Simba, Shomari Kapombe amesema fedha hizo zinaongeza hamasa kwao kuzidi kufanya vizuri zaidi.

(Imeandikwa na @allymufti_tz)

#SimbaSC

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *