“sisi ni Watanzania ni lazima tujuwe fahari ya Kitanzania tuna ufahari gani na namna ya kujua ufahari wetu sisi Watanzania ndio tuna rasilimali nyingi, tuna mbuga za wanyama, tuna Ngorongoro, tuna mikumi ambayo yamkini nchi zingine hakuna lakini Tanzania vipo” –Masolwa Ikumbo – Mshiriki
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.