Wadau wa elimu wakiwemo wataalamu wa taaluma ya ualimu wameiomba serikali kupitia Wizara ya Elimu kutumia upimaji maarifa wa taifa kwa wanafunzi wa darasa la nne ulioanza jana na kumalizika leo utumike pia kama kipimo cha kufanya tathmini ya ubora au udhaifu wa mtaala mpya wa elimu ulioboreshwa.
Taarifa ifuatayo ina maelezo ya kina.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi