Wanawake wametakiwa kuhakikisha wanajitokeza kwa wingi kwenye zoezi la kupiga kura ili kupata kiongozi bora ambaye itakuwa rahisi kumweleza changamoto zinazowakabili wanawake na makundi mengine.

Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam na muunganiko wa asasi za kiraia zinazotetea makundi maalumu wakiwemo watoto na wanawake.

#AzamTVUpdates
✍ Upendo Michael
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *