YANGA vs SILVER STRIKERS: Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kamwe amesema Jumaosi hawaendi kupindua meza tu, bali wanakwenda kuivunja kabisa katika mechi yao ya mkondo wa pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).
Kamwe amesema wachezaji na kocha wanawahitaji sana mashabiki huku akiongeza kuwa kuna mfumo rafiki wa watu kuingia uwanjani.
Kamwe amesisitiza watu kuwahi uwanjani
(Imeandikwa na @allymufti_tz)
#Yanga #Kamwe