YANGA vs SILVER STRIKERS: Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kmwe amtumia ujumbe Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasili...

YANGA vs SILVER STRIKERS: Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ally Kmwe amtumia ujumbe Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Azam FC, @zakazakazi kuhusu michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC).

Kamwe awaita mashabiki wa Yanga kwenda kuujaza uwanja wa Benjamin Mkapa, asema kwa wale ambao walishakata tiketi, utaratibu wao umeshawekwa sawa na hakuna changamoto yoyote.

Yanga itacheza dhidi ya Silver Strikers kwenye mchezo wa mkondo wa pili na tayari uongozi umetangaza kuwa mechi hiyo haina kiingilio.

Mechi Jumamosi saa 11:00 jioni LIVE #AzamSports3HD

#Yanga #Kamwe

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *