Rais wa Marekani Donald Trump atishia kutoiunga mkono Israel iwapo itauvamia Ukingo wa Magharibi//Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer kutoa wito wa Ukraine kuongezewa makombora na Ulaya//Na Umoja wa Ulaya waweka mikakati ya kusitisha utoaji wa gesi chafu.