AZAM FC VS KMKM | “Azam wanatakiwa kutumia nguvu kubwa zaidi kuliko hata KMKM” sehemu ya maneno ya mchambuzi wa soka, Philip Nkini akichambua kwa kina takwimu za Azam FC kuelekea katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya KMKM kwenye dimba la Azam Complex Chamanzi Jijini Dar es Salaam.
Nkini pia amesema mashabiki wengi wa soka nchini wanatamani kuiona timu ya Azam FC ikiingia katika hatua ya makundi.
Mtanange utachezwa leo saa 11:00 jioni, na kuruka LIVE AzamSports2HD.
Imeandaliwa na @jairomtitu3
Mhariri: @allymufti_tz
#AzamFC #KMKM #CAFCC #KombelaShirikishoAfrika