Baadhi ya vyama vya siasa vinavyoshiriki ‘mchakamchaka’ wa Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu vimesema huenda vikashindwa kupata mawakala kwa ajili ya kusimamia vituo vya uchaguzi kwa niaba yao katika baadhi ya vituo kutokana na idadi kubwa ya majimbo ya uchaguzi na uwezo mdogo wa kifedha wa vyama hivyo kuweza kumudu gharama za kuwapa mawakala hao.
Taarifa taarifa hii ina undani zaidi.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi