Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetangaza kuanza mchakato wa usajili wa wasanii watakaoshiriki katika Tuzo za Muziki za Taifa (TMA), zinazotarajiwa kufanyika Desemba 13 mwaka huu.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa BASATA, Dkt. Kedmon Mapana amesema kuwa tuzo za mwaka huu zitakuwa na jumla ya vipengele 36 ambavyo vitagawanywa katika makundi manne tofauti.
#AzamTVUpdates
✍ Rebeca Mbembela
Mhariri | John Mbalamwezi