Bundesliga leo Ijumaa

Bundesliga leo Ijumaa

Saa 3:30 usiku, Werder Bremen watakuwa nyumbani wakiwakaribisha Union Berlin.

Mechi hii itaruka mbashara kupitia AzamSports2HD.

Je, Werder ama Union Berlin nani kuondoka na alama tatu?

#Bundesliga #Azamtvsports

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *