#CAFCC KISHINDO…!!!
Azam FC wanaandika historia mpya kwa kutinga hatua ya makundi kwenye michuano ya CAF kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwao….!!!
FT: Azam FC 7-0 KMKM SC (Agg: 9-0)
Burudani zinaendelea LIVE #AzamSports2HD
#CAFCC #CAFConfederationCup #CCC#KombeLaShirikishoAfrika #AzamFC #KMKMSC #AzamKMKM
