#CAFCC Maafande wamekula ‘wiki’, na Azam FC inaingia hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika bila kuruhusu goli lolote katika mechi nne ilizocheza na imefunga jumla ya magoli 13.
FT: Azam FC 7-0 KMKM SC (Agg: 9-0).
Je, unasemaje??
#CAFCC #CAFConfederationCup #CCC#KombeLaShirikishoAfrika #AzamFC #KMKMSC #AzamKMKM
