#CAFCC Magoli yote saba, Azam FC ikiifumua KMKM Chamazi…. Iddy Nado, Jephte Kitambala na Abdul Sopu wamefunga mawili kila mmoja, huku linguine likitoka kwa Pascal Msindo.
Azam FC 7-0 KMKM SC (Agg: 9-0)
LIVE #AzamSports2HD
#CAFCC #CAFConfederationCup #CCC#KombeLaShirikishoAfrika #AzamFC #KMKMSC #AzamKMKM