#CAFCC ‘Popat’ amwaga chozi…!!!
Umekuwa ni wakati mzito kwa Makamu wa Rais wa Azam FC, Abdulkarim Aamin ‘Popat’, akiishuhudia timu yake ikifuzu hatua ya makundi kwenye Kombe la Shirikisho Afrika kwa mara ya kwanza katika historia yao…!!!
FT: Azam FC 7-0 KMKM SC (Agg: 9-0).
#CAFCC #CAFConfederationCup #CCC#KombeLaShirikishoAfrika #AzamFC #KMKMSC #AzamKMKM