#CAFCL Klabu ya Simba ikiongozwa na Meneja wa Habari na Mawasiliano Ahmed Ally, imetoa msaada katika kituo cha Faraja Orphanage ...

#CAFCL Klabu ya Simba ikiongozwa na Meneja wa Habari na Mawasiliano Ahmed Ally, imetoa msaada katika kituo cha Faraja Orphanage Center kilichopo Mburahati Mianzini jijini Dar es Salaam, kuelekea mchezo wake wa Jumapili dhidi ya Nsingizini Hospurs….

Katika tukio hilo, Ahmed Ally amezungumza machache kuhusu malengo ya msaada huo pamoja na mipango yao ya kuwatoa Nsingizini na kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabinbgwa Afrika ….

Hii hapa taarifa…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *