DODOMA JIJI vs PAMBA JIJI | Kocha wa klabu ya Pamba Jiji FC, Francis Baraza amesema wamejipanga vizuri kuhakikisha wanapata ushi...

DODOMA JIJI vs PAMBA JIJI | Kocha wa klabu ya Pamba Jiji FC, Francis Baraza amesema wamejipanga vizuri kuhakikisha wanapata ushindi kwenye mchezo wao wa kesho wa #NBCPremierLeague dhidi ya Dodoma Jiji watakaocheza kwenye dimba la Jamhuri Dodoma.

Naye mchezaji wa timu hiyo Abdul Mangalo amesema wamejiandaa vizuri kuelekea katika mchezo huo na kuhakikisha wanapata alama tatu muhimu.
Mtanange wenyewe utapigwa kuanzia Saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports1HD

Imeandaliwa @jairomtitu3

#AzamSports #DodomaJiji #PambaJiji #DodomaJijiPambaJiji

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *