Kwa mujibu wa shirika la habari la Yonhap, Chung amesema ziara ya Trump nchini Korea Kusini ni “fursa kutoka mbinguni” ambayo inaweza kusaidia kuinua hadhi ya Korea Kaskazini kimataifa na kuboresha uchumi wake.

Ameongeza kuwa ziara hiyo inaweza kurahisisha mazungumzo kati ya Trump na Kim bila urasimu wa kawaida unaochelewesha mashauriano kama hayo.

Trump anatarajiwa kuanza ziara ya siku tano barani Asia, ambapo atazitembelea Malaysia, Japan na Korea Kusini, ikiwa ni ya kwanza katika kanda hiyo tangu kurejea madarakani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *