#HABARI: Murtaza Mangungu, Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC, amezungumza na @hoseamchopa kuwa ni ngumu kuweka mechi zao bure kwa sababu mashabiki wao ni jambo ambalo haliwafurahishi.

Mangungu anasema mashabiki wa Simba ni wa kitofauti sana mpaka waliomba walipe fedha ya adhabu iliyosababisha mechi iliyopita ya nyumbani kucheza bila mashabiki.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *