#HABARI: Waigizaji Maarufu nchini Tanzania wamewasihi Watanzania kuwa watulivu kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
Wamewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura siku ya Uchaguzi kwa kuwa ni haki yao ya kikatiba ya kuiweka madarakani Serikali itakayohudumu katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania