#HABARI: Zikiwa zimebaki siku chache kufikia kwenye Kinyang’anyiro cha Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge pamoja na Rais ifikapo Oktoba 29, 2025, Afisa Uchaguzi Jimbo la Lindi Mjini na Jimbo la Mchanga, Mkoani Lindi, Bw.Donald Mwakatundu, amewahamasisha wananchi wa Majimbo hayo siku hiyo ya Uchaguzi Mkuu wajitokeze kwa wingi kwenye kupiga kura ili kumchagua kiongozi waemtaka kwa ajili ya kuwaletea maendeleo kwenye maeneo yao.

Mwakatumua amesema matayarisho yote ambayo yanatakiwa kutumika siku hiyo ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29 tayari yamehakikiwa na wamejiridhisha kuwa yapo sawa kwa kutumika siku hiyo ya Uchaguzi Mkuu.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *