Ingawa kilimo cha zao la mwani kimezoeleka visiwani Zanzibar lakini kwa miaka 17 kimekuwa mhimili wa Maisha ya Mariamu Nanjota mkazi wa kijiji cha Shuka mkoani Lindi.
Simulizi yake inahadithiwa kupitia mahojiano na Omari Mikoma.
#AzamTVUpdates
Mhariri @moseskwindi