Jumamosi hii Singida BS  watakuwa dimba la Azam Complex wakiwakaribisha Flambeau Du Centre ya Burundi, mechi ya marudiano Kombe ...

Jumamosi hii Singida BS watakuwa dimba la Azam Complex wakiwakaribisha Flambeau Du Centre ya Burundi, mechi ya marudiano Kombe la Shirikisho Afrika.

Mechi hii itapigwa kuanzia saa 1:00 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports2HD.

Singida BS wanahitaji ushindi ama sare ya bila magoli ili kutinga hatua ya makundi ya michuano hii.

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.

#CAFCC #Azamtvsports

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *