Kombe la Shirikisho Afrika

Kombe la Shirikisho Afrika

LEO AzamFC watakuwa nyumbani Azam Complex wakiwakaribisha KMKM kutoka Zanzibar.

Mechi hii itachezwa kuanzia saa 11:00 jioni, na kuruka mbashara AzamSports2HD.

AzamFC wanaingia katika mchezo huu wakiwa na faida ya magoli mawili waliyoyapata mechi ya mkondo wa kwanza.

Je AzamFC watashinda nje ndani na kutinga makundi ama KMKM kupindua meza

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.

#CAFCC #Azamtvsports

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *