MSHIKEMSHIKE: Azam FC kwa mara ya kwanza katika historia yake imefuzu hatua ya makundi CAFCC

MSHIKEMSHIKE: Azam FC kwa mara ya kwanza katika historia yake imefuzu hatua ya makundi CAFCC. Una ushauri gani kwa matajiri hao wa jiji?.

Tuandikie maoni yako na sisi tutayasoma kwenye kipindi cha Mshikemshike saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD

#Mshikemshike

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *